Bonge la Nyau - Umenikosea Lyrics
 • #
 • A
 • B
 • C
 • D
 • E
 • F
 • G
 • H
 • I
 • J
 • K
 • L
 • M
 • N
 • O
 • P
 • Q
 • R
 • S
 • T
 • U
 • V
 • W
 • X
 • Y
 • Z
 • Send a Lyrics

  Umenikosea

  [Intro: Bonge la nyau & Kayumba]
  Whoa whoa whoa whoa
  Oohh
  Whoa whoa whoa
  <>
  Mmmh...
  Whoa whoa whoa whoa
  What?
  Ah, Expensive rapper
  Whoa whoa whoa whoa
  (Juz Biron)
  Swabree!
  Whoa whoa whoa whoa
  Wha?
  Yeah
  Ah

  [Verse 1: Bonge la Nyau]
  Hisia zangu zilikuwa sawa
  Akili yangu ilikuwa power
  Kwa maradhi yangu ulikuwa dawa
  Umenichoresha mbele ya ndugu, hii si sawa
  Washkaji waliniambia' wewe kicheche, nikakataa (Nikakataa)
  Kumbe una maseke yamekujaa
  Wanakudandia' mabisho na mapapaa (Na mapapaa)
  Ukienda kwenye gesti, kwenye baa
  Ubinadamu kazi, ubinadamu shazi
  Mpende akupendaye uyaepuke maradhi

  [Chorus: Kayumba]
  Mi najuta ku-roll nae (Mambo mengi yamenikuta)
  Ku roll nae (Sitaki, sitaki, sitaki, sitaki, sitaki)
  Mi najuta kuruka nae (Pisi moja mabwana tisa)
  Ohh...
  Ruka nae ( Toka mbele sitaki kabisa )
  Eh' kumbe chai karanga, manyanga, chakarichachacha
  Nishachoka utopolo, wallah nainua matanga
  Eh' ushamaliza Kariakoo, Kigogo, (Whoa, whoa, whoa, whoa)
  Ko usione jogoo ( Whoa, whoa, whoa, whoa)
  Huwezi kusema, "No" (No,no,no, no)
  Viwanja vyote una go
  Eh' ushamaliza Kino kwa vigogo, (Go,go,go,go)
  Ko usione jogoo ( Go,go, go, go)
  Huwezi kusema, "No" (No,no,no, no)
  Viwanja vyote una go

  [Verse 2:]
  Ah' umenipa wenge, PCBG
  Umeniroga, roga
  Nikawa sioni, siskii' yaani zoba zoba
  Una lika na wengi, laini mboga mboga
  Sitaki tena mapenzi, nina uwoga uwoga
  Sasa nimeshtuka, Ha!
  Suala la mapenzi futa, najua kilichonikuta
  Moyo usiende pupa (Pu, pu )
  Mwingine nitatafuta
  Movie liko end weka nukta
  Ubinadamu kazi, ubinadamu shazi
  Mpende akupendaye uyaepuke maradhi

  [Chorus:]
  Mi najuta ku-roll nae (Mambo mengi yamenikuta)
  Ku roll nae (Sitaki, sitaki, sitaki, sitaki, sitaki)
  Mi najuta kuruka nae (Pisi moja mabwana tisa)
  Ohh...
  Ruka nae ( Toka mbele sitaki kabisa )
  Eh' kumbe chai karanga, manyanga, chakarichachacha
  Nishachoka utopolo, wallah nainua matanga
  Eh' ushamaliza Kariakoo, Kigogo, (Whoa, whoa, whoa, whoa)
  Ko usione jogoo ( Whoa, whoa, whoa, whoa)
  Huwezi kusema, "No" (No,no,no, no)
  Viwanja vyote una go
  Eh' ushamaliza Kino kwa vigogo, (Go,go,go,go)
  Ko usione jogoo ( Go,go, go, go)
  Huwezi kusema, "No" (No,no,no, no)
  Viwanja vyote una go

  [Outro: Kayumba & Bonge la Nyau]
  Umenikosea
  Nyauloso, umemkosea
  Eh' kumbe chep, chep, chep karanga
  What?
  Igesa, World wide, Ben Q!
  Habari wanayo

  Other Bonge la Nyau Lyrics

    Comments

  There is no comment.
  Leave a Comment
  *Your comment will be published after approval.